Ippolito de' Medici
Mandhari
Ippolito de' Medici (Machi 1511 – 10 Agosti 1535) alikuwa askofu na kardinali wa Italia.
Alikuwa mwana pekee wa Giuliano di Lorenzo de' Medici, aliyezaliwa nje ya ndoa na Pacifica Brandano. Ippolito alizaliwa Urbino. Baba yake alifariki alipokuwa na umri wa miaka mitano tu (1516), na baadaye akalelewa na ndugu wa baba yake Papa Leo X na ndugu yake Giulio de' Medici.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Rebecchini, Guido (2009). "MEDICI, Ippolito de' in "Dizionario Biografico degli Italiani 73"". www.treccani.it (kwa Kiitaliano). Iliwekwa mnamo 2022-06-25.
- ↑ Sainte-Marthe, Denis de (1715). Gallia christiana (tol. la Tomus primus). Paris: Imprimerie royale. uk. 831. Eubel, Conradus; Gulik, Guilelmus (1923). Hierarchia catholica, Tomus 3 (tol. la second). Münster: Libreria Regensbergiana. ku. 20, 126–127.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |