Nenda kwa yaliyomo

Intercontinental Cup (1960–2004)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kombe la Intercontinental, pia linajulikana kama Kombe la Ulaya/Latin Amerika, lilikuwa mashindano ya kimataifa ya soka yaliyoshirikisha vilabu vya ulaya na Amerika ya Kusini. Mashindano haya yalijumuisha mabingwa wa Ligi ya Mabingwa ya UEFA na Copa Libertadores ya Amerika Kusini. Kuanzia mwaka 1980, lilijulikana kama Kombe la Toyota kutokana na udhamini wake. Mashindano haya yalidumu kuanzia 1960 hadi 2004, wakati yalipochukuliwa na Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA[1][2].

Tanbihii

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Las competiciones oficiales de la CONMEBOL". CONMEBOL. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Agosti 2015. Iliwekwa mnamo 4 Juni 2019. Official competitions are those recognised as valid by an organisation and not only organised by it, in fact Conmebol includes in its list of official competitions the Club World Cup that is fully organised by FIFA.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Real Madrid CF". UEFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Julai 2017. Iliwekwa mnamo 13 Machi 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Intercontinental Cup (1960–2004) kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.