Imran Khan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Imran Ahmed Khan Niazi (kwa Kiurdu: عمران احمد خان نیازی‎; amezaliwa 5 Oktoba 1952) ni Waziri Mkuu wa 22 na wa sasa wa Pakistan na mwenyekiti wa chama cha Pakistan Tehreek-e-Insaf (PTI)[1].

Imran Ahmed Khan alipita kwa kupigwa kura 176 ambapo mshindani wake kutoka chama cha Kiislamu cha Pakistan PML, Shahbaz Sharif alipata kura 96 katika uchaguzi uliofanyika mwaka 2018[2].

Kabla ya kuingia katika siasa, Khan alikuwa mchezaji wa kimataifa wa kriketi na nahodha wa timu ya taifa ya kriketi ya Pakistan, ambaye alisaidia timu yake ushindi kwenye Kombe la Dunia la Kriketi la mwaka 1992[3][4].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Imran Khan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.