ImmoAgentur Stadion
Mandhari
ImmoAgentur Stadion ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Austria. Ulizinduliwa kwenye mji wa Maria Enzersdorf nchini Austria. Uwanja huu hutumiwa na timu ya VfB Admira Wacker Mödling na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 12,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ The Stadium Guide - Casinostadion Archived Januari 17, 2008, at the Wayback Machine
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu ImmoAgentur Stadion kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |