Immagine & poesia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

IMMAGINE&POESIA ni harakati ambazo zinaunganisha taswira iliyoandikwa kimaneno. Hizi ni harakati za kisanaa za kisasa.[1]

Logo-immaginepoesia.gif
Bango la IMMAGINE&POESIA (2008) na Gianpiero Actis, Italia

Chimbuko[hariri | hariri chanzo]

Ilianzishwa katika Alfa Teatro, Torino, Italia mnamo 2007, na kikundi cha washairi na wasanii ikiwa ni pamoja na Aeronwy Thomas, binti wa Dylan Thomas, Lidia Chiarelli, Gianpiero Actis na wengineo wengi, ambao wanaamini kwamba nguvu ya neno lililoandikwa na nguvu ya taswira, zikiungana, inaumba kazi mpya ambayo si nzuri tu kuliko visehemu, bali hubadilisha na kukuzwa na muungano.[2] and Enzo Pāpa.[3] [4][5]


Mshairi wa Kimarekani Lawrence Ferlinghetti na msanii wa Kiitalia Ugo Nespolo ni wanachama wa Kamati ya Heshima ya IMMAGINE&POESIA. Beverly Matherne, mshairi na profesa katika Chuo Kikuu cha Northern Michigan, naye ni mwanachama wa harakati hizi. Mtahakiki rasmi wa sanaa katika harakati hizi ni Bi. Mary Gorgy [6] na Enzo Papa.

Ilani: "The proclamation of The Manifesto of IMMAGINE&POESIA on the stage of Alfa Teatro, Torino, 9 Novemba 2007"

Ilani[hariri | hariri chanzo]

Ilani yake imetafsiriwa katika lugha zipatazo 28. Inavipengele vipatavyo 10. Kipengele cha nne kinaonesha wakati wa kustawisha wasanii na washairi: mchoraji anaweza kuangazia ushairi au utunzi wa ushairi waweza kuangazia uumbaji shughuli za sanaa, jibu lake ni sanaa mpya iliyokamilika.[7] [8]

Kadi na mashairi yaliyochorwa na wanachama wa IMMAGINE&POESIA kwa ajili ya Yoko Ono Wish Tree, (imewekwa katika MoMA na Hirshhorn Museum)

[9]

Maonyesho[hariri | hariri chanzo]

Tangu mwaka wa 2007 harakati imeandaa maonyesho ya usomaji wa ushairi na vingingevyo ambapo taswira na maneno vinashabihiana. Maonyesho yaliyopata sifa zaidi ni yale yaliyofanyika nchini Italia, Uingereza na Marekani

Web Site[hariri | hariri chanzo]

http://immaginepoesia.jimdo.com/

Vitabu[hariri | hariri chanzo]

  • Lidia Chiarelli: Immagine & Poesia - The Movement in progress, Cross-Cultural Communications, Merrick, New York, 2013 ISBN 978-0-89304-994-2

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://imagespoetry.wordpress.com/honorary-members-of-immaginepoesia-2/
  2. http://imagespoetry.wordpress.com/immaginepoesia-now-and-then-by-mary-gorgy-fine-art-photo-by-adel-gorgy-long-island-n-y/
  3. The Seventh Quarry, Swansea Poetry Magazine, Issue 19, Wales- UK, 2014, pp. 52-54
  4. Krytyca Literacka, Rok VII, Issue 4 (8.69), Łódź, Poland, 2015, ISSN 2084-1124,pp. 20-23 (article by Tomasz Marek Sobieraj)
  5. The Seventh Quarry, Swansea Poetry Magazine, Issue 23, Wales -UK, winter-spring 2016, pp. 39-42 (article by M. Gregory)
  6. http://imagespoetry.wordpress.com/immaginepoesia-now-and-then-by-mary-gorgy-fine-art-photo-by-adel-gorgy-long-island-n-y/
  7. http://imagespoetry.wordpress.com/the-manifesto-of-immaginepoesia-2/
  8. http://immaginepoesia.jimdo.com/about-us/translations-of-the-manifesto/
  9. Lidia Chiarelli: Immagine & Poesia - The Movement in progress, Cross-Cultural Communications, Merrick, New York, 2013 ISBN 978-0-89304-994-2