Nenda kwa yaliyomo

Imee Marcos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maria Imelda Josefa Remedios "Imee" Romualdez Marcos-Manotoc[1] (alizaliwa 12 Novemba 1955) ni mwanasiasa na mtayarishaji wa filamu wa Ufilipino ambaye anahudumu kama seneta tingu mwaka 2019. Hapo awali alihudumu kama gavana wa Ilocos Norte kuanzia mwaka 2010 hadi 2019 na kama mwakilishi wa jimbo la pili la Ilocos Norte (2nd district) kuanzia mwaka 1998 hadi 2007. Yeye ni binti wa dikteta na Rais wa 10 wa Ufilipino, Ferdinand Marcos, na aliyekuwa mke wa rais aliyepatikana na hatia ya uhalifu, Imelda Marcos, na pia ni dada mkubwa wa rais wa sasa, Bongbong Marcos.[2]

  1. "G.R. No. 195295, October 05, 2016 - REPUBLIC OF THE PHILIPPINES, Petitioner, v. SANDIGANBAYAN, FOURTH DIVISION, FERDINAND "BONGBONG" R. MARCOS, JR., MA. IMELDA "IMEE" R. MARCOS-MANOTOC, GREGORIO MA. ARANETA III, AND IRENE R. MARCOS ARANETA, Respondents". Oktoba 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Aprili 7, 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Fabonan, Epi (Septemba 11, 2019). "Everyday History by The Philippine Star: Ferdinand Marcos: Sept. 11, 1917". The Philippine Star.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)[dead link]
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Imee Marcos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.