Im Yoon-ah
| Im Yoon-ah | |
|---|---|
Im Yoon-ah Aprili 2025 | |
| Amezaliwa | 30 Mei 1990 |
| Utaifa | Mkorea Kusini |
| Majina mengine | Yoona |
| Mhitimu | Chuo Kikuu cha Daeyoung |
| Kazi yake | mwigizaji na mwimbaji. |
| Miaka ya kazi | 2006-hadi sasa |
| Saini | |
Im Yoon-ah (Korean: 임윤아; alizaliwa Mei 30, 1990), ni mwigizaji na mwimbaji wa Korea Kusini maarufu kama Yoona[1]. Baada ya kumaliza mafunzo kwa miaka mitano alijiunga katika kikundi cha wasichana kilichojulikana kama Girls' Generation. Mwezi Augosti mwaka 2007. Kundi hilo lilikua ni miongoni mwa makundi ya wasanii yanayouza sana nchini Korea Kusini na pia kua miongoni mwa makundi ya yanayojulikana wasichana wanaojulikana zaidi duniani. Pia ameshiriki katika tamthilia mbalimbali za televishei kama vile notably You Are My Destiny (2008) ambayo ilimpa umaarufu na kumpatia tuzo ya Mwigizaji Chipukizi bora katika Tuzo za 45 za Sanaa za Baeksang[2].
Maisha na Elimu
[hariri | hariri chanzo]Im alizaliwa Mei 30, 1990[3] huko Daerim-dong, Wilaya ya Yeongdeungpo, Seoul, Korea Kusini[4][5]. Familia ya Im inajumuisha baba yake, dada yake mkubwa aliemtangulia kwa miaka mitano.
Im alihitimu Shule ya Daeyoung mwaka 2009. Baadaye alisoma masomo ya uigizaji na kuhitimu katika Chuo Kikuu cha Dongguk mwezi Februari, 2015, ambapo alipokea tuzo ya mafankio ya maisha katika hafla ya mahafali. Mshirika mwenzake wa Girls' Generation, Seohyun, pia alihudhuria chuo hicho hicho. Mwaka 2014 alichaguliwa kuwa balozi wa chuo kikuu cha Dongguk, akiwa pamoja na Naeun wa Apink na mwigizaji Park Ha-sun[6].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://news.topstarnews.net/detail.php?number=217919
- ↑ http://english.yonhapnews.co.kr/interview/2016/11/16/98/0800000000AEN20161116004600315F.html
- ↑ Russell, Mark James (2014-04-29). K-POP Now!: The Korean Music Revolution (kwa Kiingereza). Tuttle Publishing. ISBN 978-1-4629-1411-1.
- ↑ "씨네폭스". cinefox. Iliwekwa mnamo 2025-10-28.
- ↑ edaily. "이데일리". 이데일리 (kwa Kikorea). Iliwekwa mnamo 2025-10-28.
- ↑ 입력 2014-09-17 14:58 (2014-09-17). "동국대, 윤아·서현 등 동문 연예인 19명 홍보대사 위촉". 아주경제 (kwa Kikorea). Iliwekwa mnamo 2025-10-28.
{{cite web}}: CS1 maint: numeric names: authors list (link)