Iliniza Sur

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Iliniza Sur ni mlima wa Andes katika nchi ya Ekwador (Amerika Kusini).

Iliniza Sur Ecuador 0576a.jpg

Urefu wake ni mita 5,263 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]