Ildebrando Gregori
Mandhari
Ildebrando Gregori, O.S.B. Silv. (8 Mei 1894 - 12 Novemba 1985) alikuwa mtawa wa Kibenedikto kutoka Italia, ambaye alihudumu kama Abati Mkuu wa shirika la Wasilvesta.
Alikuwa na mchango mkubwa katika kutunza mayatima wengi waliobaki katika jiji la Roma baada ya uharibifu wa Vita vya Pili vya Dunia.
Kisha kukubaliwa na Vatikani, anaheshimiwa kama Mstahili heshima (Venerable).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |