Nenda kwa yaliyomo

Iké Ugbo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ugbo akiwa na ES Troyes AC mwaka 2022

Iké Dominique Ugbo (amezaliwa Septemba 21, 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa ambaye anacheza kama mshambuliaji kwa klabu ya Sheffield Wednesday. Alizaliwa Uingereza, lakini anaiwakilisha timu ya taifa ya Kanada.[1][2][3]



  1. "Profile". 11v11.com. AFS Enterprises. Iliwekwa mnamo 30 Agosti 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Christian Okpara (18 Aprili 2016). "Does the English Premiership hold the key to Nigeria's revival?". Nigeria Guardian. Iliwekwa mnamo 30 Agosti 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Emmanuel, Ifeanyi (19 Agosti 2020). "'I Have Just Been There Ever Since' – Ike Ugbo Reveals How He Ended Up At Chelsea". All Nigeria Soccer.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Iké Ugbo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.