Nenda kwa yaliyomo

Ignatius Phakoe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ignatius Phakoe (alizaliwa 9 Julai 1927 huko Koro-Koro – 23 Julai 1989) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Lesotho na askofu wa Jimbo Katoliki la Leribe. Alipadrishwa mwaka 1952 na aliteuliwa kuwa askofu mwaka 1961. Alifariki tarehe 23 Julai 1989, akiwa na umri wa miaka 62.[1]

  1. "Bishop Ignatius Phakoe, O.M.I." Catholic Hierarchy. Iliwekwa mnamo 20 Novemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.