Nenda kwa yaliyomo

Ignatius Anthony Catanello

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ignatius Anthony Catanello (23 Julai 193811 Machi 2013) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani.

Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Katoliki la Brooklyn kuanzia mwaka 1994 hadi 2010.[1]

  1. "Remembering Bishop Catanello". The Tablet. 14 Machi 2013.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.