Nenda kwa yaliyomo

Ignas Maloyan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtakatifu Ignas Maloyan.

Ignas Maloyan (8 Aprili 186911 Juni 1915) alikuwa askofu wa Mardin wa Kanisa Katoliki la Armenia kuanzia mwaka 1911 hadi kifodini chake kilichompata kwa sababu ya kukataa katakata mara kadhaa kusilimu.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 7 Oktoba 2001, Papa Leo XIV akamtangaza mtakatifu tarehe 19 Oktoba 2025[1].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake [2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Pope Leo XIV canonizes 7 new saints, including first from Venezuela and Papua New Guinea". Catholic News Agency. 2025-10-19. Iliwekwa mnamo 2025-10-19.
  2. Martyrologium Romanum
  • Charles E. Frazee (1983), Catholics and Sultans: The Church and the Ottoman Empire, 1453–1923, Cambridge University Press.
  • Armenian Tigranakert/Diarbekir and Edessa/Urfa. Richard G. Hovannisian (ed.) UCLA Armenian History and Culture Series: Historic Armenian Cities and Provinces, 6. Costa Mesa, CA: Mazda Publishers, 2006.
  • Jacques Rhétoré (2015), Les chrétiens aux bêtes: souvenirs de la guerre sainte proclamée par les Turcs contre les chrétiens, Paris.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.