Ignacio Velasco
Mandhari
Antonio Ignacio Velasco García, S.D.B. (17 Januari 1929 – 6 Julai 2003) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Venezuela.
Alikuwa Askofu Mkuu wa Caracas kuanzia tarehe 27 Mei 1995 hadi alipofariki.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Church in Caracas Demands Government Action After Attacks". Zenit. 3 Agosti 2001. Iliwekwa mnamo 16 Machi 2019.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |