Nenda kwa yaliyomo

Ignace Murwanashyaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ignace Murwanashyaka

Ignace Murwanashyaka (alizaliwa 14 Mei 196316 Aprili 2019) alikuwa kiongozi wa waasi kutoka Rwanda na aliongoza Forces Démocratiques de Libération du Rwanda (FDLR), kundi la waasi la Wahutu kutoka Rwanda linaloundwa na watu waliokuwa wakihusika katika Mauaji ya Kimbari ya Rwanda. FDLR inafanya shughuli zake katika mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na inahusishwa na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu na uhalifu dhidi ya ubinadamu, ikiwa ni pamoja na ubakaji kwa kiwango kikubwa.[1][2]

  1. McGreal, Chris (12 Novemba 2007). "Hundreds of thousands of women raped for being on the wrong side". The Guardian. London.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Reports". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Januari 2015. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ignace Murwanashyaka kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.