Nenda kwa yaliyomo

Ifisashi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ifisashi

Ifisashi (kwa lugha ya Kibemba) au visashi (kwa lugha ya Kinyanja) ni chakula cha asili cha Zambia kinachotayarishwa kwa kutumia mboga za majani na karanga. Ifisashi mara nyingi huliwa pamoja na nshima (chakula kinachotengenezwa kwa unga wa mahindi au nafaka nyingine).

Chakula hiki huchukuliwa kuwa ni chakula cha mboga (vegetarian), lakini nyama inaweza kuongezwa ikiwa mtu atapenda. Ifisashi ni chakula kinachofaa zaidi kuliwa kikiwa cha moto na mara nyingi hutolewa kama mlo mkuu.[1][2]

Nchini Zambia, pale ambapo nshima haipatikani, ifisashi inaweza kuandaliwa na kuliwa pamoja na vyakula vingine vya nafaka au mizizi kama vile ulezi, mtama, mchele, muhogo au viazi vikuu (yam).[3]

  1. ↑ "Traditional Vegetable Dish From Zambia". TasteAtlas. 2018-02-09. Iliwekwa mnamo 2024-04-16.
  2. ↑ Webb, L.S.; Cardella, L.G. (2009). The Multicultural Cookbook for Students. Bloomsbury Publishing. uk. 66. ISBN 978-0-313-37559-0. Iliwekwa mnamo 2024-04-16.
  3. ↑ "Site permettant à ses utilisateurs de partager leurs recettes, astuces culianire, évenements culinaires et bien d'autre choses à décrouvrir comme les restaurants et les cours de cuisine dirigé par des illustres chefs cuisinier". Cuisine Abidjan.net (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2024-04-16.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ifisashi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.