Idir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Idir
Taarifa za awali
Jina la kuzaliwa Hamid Cheriet
Amezaliwa 1949
Kazi yake Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, Mtayarishaji wa rekodi, mwanamuziki
Ala Sauti, Gitaa, Flute, Tumba
Miaka ya kazi 1976–hadi sasa

Hamid Cheriet (kwa Kikabyle Ḥamid Ceryat) anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii kama Idir (kwa Kikabyle Yidir) (amezaliwa 1949 mjini Beni Yenni, Algeria[1]) ni mwanamuziki Mberberi Mwalgeria ambaye anaimba muziki wa rai.

Discografia[hariri | hariri chanzo]

Albumu[hariri | hariri chanzo]

(Kwa orodha ndefu kabisa kuhusu orodha ya nyimbo za albamu ya Idir, tazama Idir diskografia kwenye Wikipedia ya Kifaransa)

Mwaka Albamu Chati
peak
FR
[2]
1976 A Vava Inouva
1979 Ay arrac nneɣ (Ay Arrac Negh)
1993 Les chasseurs de lumières
1999 Identités 23
2002 Deux rives, un rêve
2005 Entre scènes et terres (live album) 125
2005 La France des couleurs 22
2013 Idir 43

Single[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Single Chati
peak
FR
[2]
Albamu
2002 "Pourquoi cette pluie?" 64 Deux rives, un rêve

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.allmusic.com/cg/amg.dll
  2. 2.0 2.1 LesCharts.com Idir discography page. Lescharts.com. Iliwekwa mnamo 2013-02-15.

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]