Nenda kwa yaliyomo

Ideli Salvatti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ideli Salvatti (alizaliwa 18 Machi 1952) ni mwalimu, mwanaharakati wa vyama vya wafanyakazi, na mwanasiasa wa Brazil kutoka chama cha Workers' Party PT. Alitengeneza historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwahi kuchaguliwa kuwa Seneta wa Jamhuri (federal senator) akiwakilisha jimbo la Santa Catarina.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ideli Salvatti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.