Ichikawa, Chiba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ukumbi wa mji wa Ichikawa, Chiba






Ichikawa

Bendera
Ichikawa is located in Japan
Ichikawa
Ichikawa

Mahali pa mji wa Ichikawa katika Japani

Majiranukta: 35°43′00″N 139°56′00″E / 35.71667°N 139.93333°E / 35.71667; 139.93333
Nchi Japani
Mkoa Chiba
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 462,249
Tovuti:  http://www.city.ichikawa.lg.jp/
Mahali pa Ichikawa katika mkoa wa Chiba

Ichikawa (市川市, Ichikawa-shi) ni mji wa Japani katika mkoa wa Chiba. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka 2003, mji una wakazi wapatao 460,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 7 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 57.46 km².

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

  • (Kijapani) (Kichina) (Kiingereza) (Kikorea) (Kihispania) (Kiholanzi) (Kiindonesia) Tovuti
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ichikawa, Chiba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.