Nenda kwa yaliyomo

Ibrahima Traoré

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ibrahima Traoré (amezaliwa 21 Aprili 1988) ni mchezaji wa kandanda mstaafu aliyekuwa akicheza kama winga wa kushoto. Amezaliwa nchini Ufaransa, lakini aliwakilisha Guinea katika michuano ya kimataifa.[1]

  1. "Guinea" (PDF). Confederation of African Football. 15 Juni 2019. uk. 10. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 21 Juni 2019. Iliwekwa mnamo 11 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ibrahima Traoré kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.