Ibrahima Kébé
Mandhari
Ibrahima Kébé (Kaolack, 2 Oktoba 1955 - 8 Septemba 2019) alikuwa mchoraji wa Soninke wa Senegal. Aliishi hadi kifo chake katika Village des Arts de Dakar[1].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Imago Mundi". www.imagomundiart.com. Iliwekwa mnamo 2019-09-21.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ibrahima Kébé kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |