Nenda kwa yaliyomo

Ibrahima Diédhiou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ibrahima Diédhiou (alizaliwa 13 Oktoba, 1994) ni mchezaji wa kimataifa wa mpira wa miguu kutoka Senegal anayekipiga katika nafasi ya beki kwa klabu ya Ufaransa ya Ligi ya Taifa ya Ufaransa Daraja la Tatu ya Vineuil SF.

Diédhiou aliwahi kucheza soka la klabu kwa K.A.S. Eupen. Baada ya msimu wa 2016–17, aliachiliwa na Eupen, na baada ya kukaa bila klabu kwa mwaka mmoja, aliweka saini kuichezea klabu ya daraja la tano nchini Ufaransa ya AS Beauvais Oise.[1][2][3]

  1. "Ibrahima Diedhiou (ex-Eupen) signe à Beauvais". L'Avenir. 17 Julai 2018. Iliwekwa mnamo 19 Februari 2019.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Colombia 2 - 2 Senegal - Match Report & Highlights". skysports.com. 31 Mei 2014. Iliwekwa mnamo 25 Februari 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "#Mercato Six nouveaux joueurs à Beauvais, dont un International sénégalais !". asbo.fr (kwa Kifaransa). AS Beauvais Oise. 16 Julai 2018. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-05-28. Iliwekwa mnamo 22 Februari 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ibrahima Diédhiou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.