Nenda kwa yaliyomo

Ibrahim Salah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ibrahim Salah (amezaliwa 30 Agosti, 2001) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa anayekipiga kama winga wa kulia katika klabu ya FC Basel ya Ligi Kuu ya Uswisi. Alizaliwa nchini Ubelgiji, lakini ameiwakilisha Morocco katika ngazi ya kimataifa.

Kazi ya klabu

[hariri | hariri chanzo]

Ni zao la akademi za vijana za Union Saint-Gilloise na Beerschot. Mwaka 2020 alikuwa karibu kujiunga na Leicester City, lakini uhamisho huo haukufanikiwa kutokana na sababu za kiutawala.[1][2]

  1. ↑ "Ibrahim Salah is experiencing his ultimate football dream: "A year ago I had to take a test at AA Gent"". Nieuwsblad.be.
  2. ↑ "OFFICIAL: KAA Gent gives 20-year-old his first professional contract". voetballprimeur.be.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ibrahim Salah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.