Nenda kwa yaliyomo

Ibn Shuayb

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abu l-`Abbas Ahmad ibn Muhammad ibn Shuayb al-Kirjani, akijulikana pia kama Ibn Shuayb au Ibn Suhayb (alifariki 1 Machi 1349), alikuwa msomi wa Moroko katika nyanja za tiba, alkemia, botania (sayansi ya mimea), astronomia, hisabati, mshairi, na mshauri mkuu wa sultani wa nasaba ya Marinid, Abu al-Hassan. Alizaliwa mjini Taza na kufariki mjini Tunis.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ibn Shuayb kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.