Ibn Rassam
Mandhari
Ibn al Rassam (inamaanisha mwana wa mchoraji) alikuwa Mmisri Mwislamu mtaalamu na mtengenezaji wa vigae. Umaarufu wake ulikuwa zaidi katika kipindi cha utawala wa Mamluk Bahri (1250-1382)[1]H
Ibn Rassam anafahamika sana kwa kubuni mbinu ya kupata shaba kutoka kwenye aina mbalimbali za madini ya malakiti. Pia alibaini rangi kwa kupasha moto vitu mbalimbali. Pia alikuwa na mwenzake mtaalamu wa kemia, Abdul Ashbah Ibn Tammam (alifariki mwaka 1361)[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.tandfonline.com/doi/abs/10.1111/j.1531-314X.1998.tb00253.x
- ↑ E.J. Brill's First Encyclopaedia of Islam 1913-1936 (kwa Kiingereza). BRILL. 1987. ISBN 978-90-04-08265-6.