Ian Kelly
Mandhari
Ian Kelly (aliyezaliwa kama Ian Couture-Kelly, 30 Machi, 1979, Montreal, Quebec, Kanada) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Kanada.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Soundscan National Sales Report, week ending 29 August 2010
- ↑ Official website
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ian Kelly kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |