ISO 3166-2:TZ
Mandhari
ISO 3166-2:TZ ni ingizo la Tanzania katika ISO 3166-2, sehemu ya mfumo sanifu wa ISO 3166 uliochapishwa na Shirika la Kimataifa la Usanifishaji, ambalo linafafanua misimbo ya majina ya mikoa na majimbo ya nchi zote zilizotambulishwa katika ISO 3166-1.
Kwa sasa, misimbo ya ISO 3166-2 imefafanuliwa kwa mikoa 31 ya Tanzania.
Kila msimbo una sehemu mbili zilizogawanywa na kistariungio. Sehemu ya kwanza ni TZ, msimbo wa ISO 3166-1 wa Tanzania. Sehemu ya pili ni tarakimu mbili:
- 01-25: mikoa kuanzia mwanzo wa miaka ya 2000
- 26: mkoa ulioundwa mwaka 2002
- 27-30: mikoa iliyoundwa mwaka 2012
- 31: mkoa ulioundwa mwaka 2016
Misimbo ya sasa
[hariri | hariri chanzo]Msimbo | Jina la mkoa |
---|---|
TZ-01 | Arusha |
TZ-02 | Dar es Salaam |
TZ-03 | Dodoma |
TZ-27 | Geita |
TZ-04 | Iringa |
TZ-05 | Kagera |
TZ-06 | Pemba Kaskazini |
TZ-07 | Unguja Kaskazini |
TZ-28 | Katavi |
TZ-08 | Kigoma |
TZ-09 | Kilimanjaro |
TZ-10 | Pemba Kusini |
TZ-11 | Unguja Kusini |
TZ-12 | Lindi |
TZ-26 | Manyara |
TZ-13 | Mara |
TZ-14 | Mbeya |
TZ-15 | Mjini Magharibi |
TZ-16 | Morogoro |
TZ-17 | Mtwara |
TZ-18 | Mwanza |
TZ-29 | Njombe |
TZ-19 | Pwani |
TZ-20 | Rukwa |
TZ-21 | Ruvuma |
TZ-22 | Shinyanga |
TZ-30 | Simiyu |
TZ-23 | Singida |
TZ-31 | Songwe |
TZ-24 | Tabora |
TZ-25 | Tanga |