I'm 'n Luv (Wit a Stripper)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“I'm 'n Luv (Wit a Stripper)”
“I'm 'n Luv (Wit a Stripper)” cover
Single ya T-Pain akishirikiana na Mike Jones
kutoka katika albamu ya Rappa Ternt Sanga
Imetolewa 13 Desemba 2005
Imerekodiwa 2005
Aina R&B, hip hop, country rap
Urefu 4:25 (Album Version)
4:00 (Radio/Video Edit w. Rap)
3:46 (No Rap Version)
Studio Jive
Mtunzi Faheem Najm[1]
Mtayarishaji T-Pain
Certification 3x Platinum (RIAA)
Mwenendo wa single za T-Pain akishirikiana na Mike Jones
"I'm Sprung"
(2005)
"I'm 'n Luv (Wit a Stripper)"
(2005)
"U and Dat"
(2006)
Video ya muziki
"I'm 'n Luv (Wit a Stripper)" katika YouTube

"I'm 'n Luv (Wit a Stripper)" (ilitambulika kama "I'm 'n Luv (Wit a Dancer)" au kwa kifupi "I'm 'n Luv") ni kibao kilichoimbwa na msanii wa R&B T-Pain akishirikiana na rapa Mike Jones. Imetolewa mwishoni mwa mwaka wa 2005 (ingawa muziki wake wa video haukutolewa mpaka wiki ya 16 Januari 2006), na kushika #5 kwenye chati za Billboard Hot 100, na kukifanya kuwa kibao cha pili cha T-Pain kuingia kwenye 10 bora, na cha kwanza kwa Mike Jones. Hiki ni kibao chenye mafanikio makubwa cha T-Pain mpaka sasa, kikafuatiwa na kibao chake kingine cha "Bartender", lakini kwa upande wa Mike Jones kimebaki kuwa hikihiki ndicho maarufu mpaka sasa.

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (2006) Nafasi
iliyoshika
U.S. Billboard Hot 100 5
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs 10
U.S. Billboard Pop 100 7
UK Singles Chart -

Matoleo Rasmi[hariri | hariri chanzo]

  1. "I'm 'n Luv (Wit a Stripper)" (Album Version) - 4:25
  2. "I'm 'n Luv (Wit a Stripper)" (Radio/Video Edit w. Rap) - 4:00
  3. "I'm 'n Luv (Wit a Stripper)" (No Rap Version) - 3:46
  4. "I'm 'n Luv (Wit a Stripper)" (Clean Version) - 3:47
  5. "I'm 'n Luv (Wit a Stripper) 2" (Tha Remix) - 6:03
  6. "I'm 'n Luv (Wit a Dancer)"

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. CD line notes: Now That's What I Call Music! 22, Sony BMG 2006