Nenda kwa yaliyomo

Huelva

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Huelva ni mji wa Hispania, mji mkuu wa mkoa wa Huelva.

Mwaka 2019 wakazi wake walikuwa 143,663 [1] na kuufanya wa arubaini na tano nchini kwa wingi wa watu.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Cifras oficiales de población resultantes de la revisión del Padrón municipal a 1 de enero. Detalle municipal". INE.
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Huelva kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.