Nenda kwa yaliyomo

Huba (tamthilia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Huba ni tamthilia inayorushwa kwenye kituo cha Maisha Magic Bongo (DSTV chaneli 160), iliyoandaliwa na Lulu Hassan kupitia kampuni yake ya utayarishaji ya Jiffy Pictures[1] [2] Tamthilia hii inahusu mapenzi, pesa, tamaa na uchawi[3]

Wahusika wa Tamthilia ya Huba

[hariri | hariri chanzo]
  1. Grace Vincent Mapunda
  2. Muhogo Mchungu
  3. Fatuma Makongoro
  4. Mboto Haji
  5. Abdul Ahmed (Ben Blanco)
  6. Nandy
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Huba (tamthilia) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.