Nenda kwa yaliyomo

Hristo Stoichkov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stoichkov (2012)

Hristo Stoichkov (alizaliwa 8 Februari 1966) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Bulgaria. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Bulgaria.

Stoichkov ameichezea timu ya taifa ya Bulgaria tangu mwaka wa 1986. Stoichkov alicheza Bulgaria katika mechi 83, akifunga mabao 37.[1]

[1]

Timu ya Taifa ya Bulgaria
MwakaMechiMagoli
198611
198730
1988113
198981
199040
199132
199252
199364
1994119
199577
199655
199741
1998101
199951
Jumla8337
  1. 1 2 Hristo Stoichkov at National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hristo Stoichkov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.