Nenda kwa yaliyomo

Hoyt Axton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hoyt Wayne Axton (25 Machi 1938 – 26 Oktoba 1999)[1] alikuwa mwimbaji-mtunzi wa nyimbo, mpiga gitaa, na mwigizaji kutoka Marekani. Alipata umaarufu mwanzoni mwa miaka ya 1960, akijijengea jina katika Pwani ya Magharibi ya Marekani kama mwimbaji wa muziki wa folk mwenye mtindo wa asili na sauti yenye nguvu.

Baadhi ya nyimbo zake zinazojulikana zaidi ni pamoja na "Joy to the World ", "The Pusher", "No No Song", "Greenback Dollar", "Della and the Dealer", "Never Been to Spain", na "Boney Fingers".[2]

  1. Roberts, David (2006). British Hit Singles & Albums (tol. la 19th). London: Guinness World Records, Ltd. uk. 34. ISBN 1-904994-10-5.
  2. Oliver, Myrna (Oktoba 27, 1999). ["Hoyt Axton, Singer, Character Actor and Hit Songwriter, Dies". Iliwekwa mnamo Januari 5, 2018. {{cite news}}: Check |url= value (help); Text "](https://www.latimes.com/archives/la-xpm-1999-oct-27-mn-26812-story.html" ignored (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hoyt Axton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.