Nenda kwa yaliyomo

Hoteli Cairo Marriott

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hoteli Cairo Marriott na Kasino ya Omar Khayya
sehemu ya mbele ya kuingilia katika Hoteli Cairo Marriott
Location Cairo, Egypt
Management Marriott International
Rooms 1,089
Floors 20
Website www.cairomarriotthotel.com

Hoteli ya Cairo Marriott ni hoteli kubwa iliyoko kando ya Mto Nile katikati mwa Cairo, Misri. Wakati mmoja jengo hili lilikuwa ikulu iliyojengwa kufuatia amri kutoka kwa mtawala wa Misri katika 1869, hoteli hiiilibadilishwa hadi hoteli ya kisasa Marriott International. Hoteli hii ina vyumba 1,089, na kuifanya moja ya hoteli kubwa katika Mashariki ya Kati.

Tawa ya Zamelek na sehemu ya uwazi ya kuonyeshea sinema katika Tawa ya Gezira.

Vyumba vyenyewe viko katika majumba mawili ya kufanana kila na ghorofa ishirini - Majumba ya Gezira na Zamelek Towers. Katikakati yazo kwenye ardhi bapa ni jumba ikulu ndio kiingilio kikuu cha hoteli, ambayo sasa in\lijengwa ili iwe na maeneo ya makaribisho na ya utawala. Juu ya paa la ikulu ni sehemu maonyesho ya sinema yenye uwazi inayoangaliana na Nile.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Ikulu ya awali ilijengwa na Nile kufuatia amri ya Khedive Ismail. Aliwataka maakitekta wa enzi hizo kuifanya kufanana na ikulu na ikulu nyingine Ufaransa, Versailles, ambapo Empress Eugénie alikuwa akikaa. Kusudi ya ikulu ilikuwa kumkaribisha Empress wa Kifaransa Eugénie ambaye alikuwa amealikwa pamoja na mumewe ,Kaisari wa Ufaransa Napoleon. Tukio la mwaliko huo ilikuwa ufunguzi wa Suez ambao ulikuwa mradi mkubwa wakati huo.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]