Hospitali ya Nyangao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hospitali ya Mtakatifu Walburga Nyangao ni hospitali kuu ya wakala wa hiari wilayani Lindi Vijijini, Mkoa wa Lindi. Inamilikiwa na Jimbo Katoliki la Lindi linaloungwa mkono na watawa,Wamisionari na Wabenedikto wa Tutzing.

Mnamo mwaka 1947 zahanati ndogo ilifunguliwa. Ilipofika mwaka 1959, Mtawa Daktari Tekla Stinnesbeck aliamua kwamba Nyangao ni mahali pazuri pa vituo vipya vya afya akaanzisha mipango ya hospitali yenye vitanda 86.[1]

Marejeo=[hariri | hariri chanzo]

  1. Hospitali ya Nyangao Archived 4 Februari 2020 at the Wayback Machine., tovuti rasmi