Nenda kwa yaliyomo

Hoshea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfalme Hoshea alivyochorwa katika "Promptuarii Iconum Insigniorum" mwaka 1553.

Hoshea (kwa Kiebrania הוֹשֵׁעַ, Hōšēaʿ) alikuwa mfalme wa mwisho wa Israeli baada ya kumuua Peka (732 KK hivi) hadi alipoondolewa madarakani na Waashuru walioteka Samaria (722 KK hivi).

Biblia inamhukumu kwa kutenda maovu lakini si kama waliomtangulia.

Habari zake zinapatikana hasa katika Kitabu cha Pili cha Wafalme 15:30 - 17:6.

    Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Hoshea kama habari za maisha au kazi yake?
    Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.