Nenda kwa yaliyomo

Horst Eckel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Horst Eckel (alizaliwa 8 Februari 19323 Desemba 2021) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani aliyekuwa akicheza kama kiungo wa pembeni (wing-half).[1]

  1. "Horst Eckel Statistics". FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Juni 2008. Iliwekwa mnamo 22 Januari 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Horst Eckel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.