Hor, Susia na wanao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Hor, Susia na wenzao)

Hor, Susia na wanao (pia: Abahor, Suzana na wanao Hor na Agatho) ni wafiadini wa Misri.

Kanisa la Kikopti linawaheshimu kama watakatifu, hasa tarehe 5 Oktoba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  • Holweck, F. G. A Biographical Dictionary of the Saint. St. Louis, MO: B. Herder Book Co. 1924.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.