Hope Masike

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ruvimbo Hope Masike, Maarufu sana kama Hope Masike alizaliwa Septemba 9, Mwaka 1984 [1] ni mwanamuziki na dansi ya Zimbabwe. Alikuwa akifahamika kama "The Princess of Mbira"; na muziki wake una mizizi katika tamaduni za jadi na za kisasa za Kiafrika. Hope pia ndiye mwimbaji mkuu wa Monoswezi.[2] Alijifunza sanaa katika chuo cha Harare Polytechnic.

Hope Masike katika Tamasha la Kimataifa la Sanaa la Harare, 2010


Marejeo[hariri | hariri chanzo]