Nenda kwa yaliyomo

Honesto Pacana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Honesto Chaves Pacana (22 Januari 19331 Februari 2024) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Ufilipino.

Alizaliwa katika mji wa Cagayan de Oro akapadrishwa mwaka 1965. Mnamo 1994, aliteuliwa kuwa askofu wa Malaybalay, ambapo alihudumu hadi kustaafu kwake mwaka 2010.[1]

  1. Patinio, Ferdinand (Februari 1, 2024). "2 retired Filipino bishops pass away". Philippine News Agency. Iliwekwa mnamo Februari 2, 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.