Holly Marie Combs

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Holly Marie Combs
Holly Marie Combs, July 2012.jpg
Amezaliwa 3 Desemba 1973 (1973-12-03) (umri 49)
Kazi yake Mwigizaji, mtayarishaji wa vipindi vya televisheni
Miaka ya kazi 1985–hadi sasa
Ndoa Bryan Travis Smith (1993–1997)
David W. Donoho (2004–2011)
Watoto Finley Arthur Donoho
Riley Edward Donoho
Kelley James Donoho

Holly Marie Combs (amezaliwa 13 Desemba, 1973)[1] ni mwigizaji na matayarishaji wa vipindi vya televisheni kutoka nchini Marekani.

Anafahamika zaidi kwa kucheza uhusika wa Piper Halliwell kwenye mfululizo wa TV uliokuwa unarushwa na The WB, Charmed (1998–2006). Katikati mwa miaka ya 1990, Combs amecheza kama Kimberly Brock katika mfululizo wa TV uliokuwa unarushwa hewani na TV ya CBS, Picket Fences (1992–1996), ambayo ilimpatia tuzo ya Young Artist Award.[2][3] Pia amepata kucheza katika filamu kama vile Sweet Hearts Dance (1988), Born on the Fourth of July (1989), Dr. Giggles (1992), Sins of Silence (1996), Daughters (1997) na Love's Deadly Triangle: The Texas Cadet Murder (1997). Combs kwa sasa anacheza kama nyota kwenye mfululizo wa TV unaorushwa hewani na TV ya "ABC Family", Pretty Little Liars - kama Ella Montgomery.

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Filamu Aliigiza kama Maelezo
1985 Walls of Glass Abby Hall
1988 Sweet Hearts Dance Dens Boon
1989 New York Stories Helena
1989 Born on the Fourth of July Jenny Turner
1991 Nobody Can Hear You Scream Melinda Ashwood
1992 Simple Men Kim Fields
1992 Dr. Giggles Jennifer Campbell
1992 Chain of Desire Diana Richards
1995 A Reason to Believe Sharon Digby
1995 Evil in the Basement Karen Ford
2001 Ocean's Eleven Mwenyewe

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Tuzo Aina ya tuzo Filamu Matokeo Maelezo
1993 Young Artist Awards Best Young Actress in a New Television Series Picket Fences alishinda [2][3]
1994 Outstanding Youth Ensemble in a Television Series aliteuliwa [2]
1995 Best Performance by a Youth Actress in a TV Mini-Series or Special A Perfect Stranger aliteuliwa [2]
1995 Screen Actors Guild Awards Screen Actors Guild Award for Outstanding Performance by an Ensemble in a Drama Series Picket Fences aliteuliwa [2]
2001 RATTY Awards Outstanding Ensemble in a Science Fiction Series Charmed aliteuliwa [4]
Outstanding Lead Actress in a Science Fiction Series aliteuliwa
2002 Best Science Fiction Lead Actress aliteuliwa [5]
2003 alishinda [6]
2007 AOL TV Top TV Witches alishinda [7][8]
2008 alishinda [9]
2011 E! Online Top 10 Most Bitchin' Witches (Piper Halliwell) alishinda [10]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Holly Marie Combs: Biography. MSN Movies. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-09-24. Iliwekwa mnamo 2012-07-16.
  2. 2.0 2.1 2.2 2.3 2.4 Holly Marie Combs — Awards. IMDb.com. Iliwekwa mnamo 2007-04-05.
  3. 3.0 3.1 Young Artist Award. youngartistawards.org. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-03-04. Iliwekwa mnamo 2008-05-06.
  4. Licuria, Robert (June 15, 2001). 7th Annual RATTY Awards Nominations. Google Groups. Iliwekwa mnamo March 29, 2015.
  5. The 9th Annual RATTY Awards – The Nominees. RATTY Awards. Jalada kutoka ya awali juu ya 2006-05-18. Iliwekwa mnamo March 29, 2015.
  6. Licuria, Robert (July 28, 2003). 9th Annual RATTY Awards – The Winners. Google Groups. Iliwekwa mnamo September 5, 2014.
  7. Best TV Witches. AOL TV. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-06-23. Iliwekwa mnamo 2015-09-19.
  8. Sample, Kristin (October 22, 2007). Top TV Witches. AOL TV. Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-09-05. Iliwekwa mnamo 2015-09-19.
  9. Greenberger, Robert (October 31, 2008). AOL Picks TV's Best Witches. Comic Mix. Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-09-05. Iliwekwa mnamo 2015-09-19.
  10. 6. Piper, Charmed from Top 10 Most Bitchin' Witches. E! Online (July 3, 2011). Iliwekwa mnamo September 6, 2014.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: