Nenda kwa yaliyomo

Hocein Talal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hocein Talal (pia: Hossein Tallal; Kiarabu: الحسين طلال; i 1942 - 19 Februari 2022), alikuwa mchoraji wa Moroko. Alikuwa mwana wa Chaïbia Talal, mmoja wa watu mashuhuri wa sanaa ya kisasa ya Morocco. [1]

  1. "Moroccan Painter Hossein Tallal Passes Away | MapNews".