Historia ya Guinea ya Ikweta
Mandhari
(Elekezwa kutoka Historia ya Equatorial Guinea)
Historia ya Guinea ya Ikweta inahusu eneo la Afrika ya Kati ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Guinea ya Ikweta.
Guinea ya Ikweta ilipata uhuru wake kutoka kwa Uhispania mwaka 1968 chini ya utawala wa mabavu wa Raisi Fransisco Macias Nguema.
| Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Guinea ya Ikweta kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |