Hiroshi Okuda
Mandhari
Hiroshi Okuda (alizaliwa Desemba 29, 1932) ni mfanyabiashara wa Kijapani aliyekuwa rais wa Toyota Motor Corporation kutoka 1995 hadi 1999 na mwenyekiti wake kutoka 1999 hadi 2006[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Bremmer, Brian (7 Aprili 1997). "Toyota's Crusade". Business Week. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-01-19. Iliwekwa mnamo 29 Desemba 2010.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hiroshi Okuda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |