Hinemodi
Mandhari
Hinemodi (pia: Hynnemundus, Hymnemondus, Hymnemodus, Hynmemodus, Hynnemond, Ynnemond; Bourgogne, leo nchini Ufaransa, karne ya 5 - Saint-Maurice-en-Valais, leo nchini Uswisi, 3 Januari 516) alikuwa abati wa Grigny ambaye uzeeni, mwaka 515 alifanywa abati wa monasteri mpya ya Mt. Morisi iliyoanzishwa na mfalme Sigismundi huko Agaune [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |