Nenda kwa yaliyomo

Hilary Page

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hilary "Harry" Fisher Page (20 Agosti 1904 – 24 Juni 1957) alikuwa mtengenezaji wa vinyago Mwingereza na mvumbuzi wa matofali ya ujenzi yanayoji-lock (Self-Locking Building Bricks), ambayo yalikuwa mtangulizi wa matofali ya Lego. Alianzisha kampuni ya vinyago ya Kiddicraft.

Hilary Fisher Page alikuwa mwanzilishi wa kampuni ya vinyago ya Kiddicraft.

Maisha ya Awali

[hariri | hariri chanzo]

Hilary "Harry" Fisher Page alizaliwa tarehe 20 Agosti 1904 katika Sanderstead, Uingereza. Alikuwa mtoto wa kwanza wa Samuel Fisher na Lillian Maude Page. Akiwa mtoto, alitengeneza vinyago vyake vya mbao na kuvumbua michezo mbalimbali, akisaidiwa na baba yake ambaye alikuwa akifanya kazi katika biashara ya mbao (lumber trade).[1]

  1. [(https://www.ornaverum.org/family/waddell-walter-wardlaw/page-kiddicraft.html) "Hilary Fisher Page and Kiddicraft"]. OrnaVerum. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2020. {{cite web}}: Check |url= value (help)[dead link]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hilary Page kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.