Hifadhi ya Taifa ya Kibale
Mandhari
Hifadhi ya Taifa ya Kibale ni mbuga ya taifa iliyopo magharibi mwa Uganda, inayolinda msitu wa mvua wenye unyevunyevu na kijani kibichi. Ina eneo la kilomita za mraba 766 kwa ukubwa na ni kati ya mita 1,100 na mita 1,600 katika mwinuko.
Licha ya kuwa na msitu wenye unyevunyevu na kijani kibichi, una mandhari ya mazuri. [1] Kibale ni mojawapo ya maeneo ya mwisho yaliyosalia kuwa na misitu ya nyanda za chini na milima katika Afrika mashariki [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ McGrew, William, et al. Great Ape Societies. Cambridge University Press, 1996. Print.
- ↑ Moukaddem, Karimeh. "National Parks do not Contribute to Poverty, finds decade long study." Mongobay.com 24 August 2011. n. pag. Web. 5 Oct. 2011.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |