Hifadhi ya Taifa ya Jibuti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hifadhi ya Taifa ya Djibouti ni mbuga ya taifa katika milima ya Goda nchini Djibouti .

Miongoni mwa vivutio katika hifadhi hii ni pamoja na aina kadhaa za mimea ya kigeni kama vile Euphorbia, Ficus na Ziziphus. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Djibouti National Reserves & Parks". Africa Tour Operators (kwa en-US). 2015-05-04. Iliwekwa mnamo 2020-10-13.