Hifadhi ya Taifa ya Chobe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nyumbu na Pundamilia katika Hifadhi ya Kitaifa ya Chobe
Nyumbu na Pundamilia katika Hifadhi ya Kitaifa ya Chobe

Hifadhi ya Taifa ya Chobe, ni mbuga ya kwanza ya taifa nchini Botswana, na pia mbuga ya wanyama tofauti zaidi. Ipo kaskazini mwa nchi, ni mbuga ya tatu kwa ukubwa nchini Botswana, baada ya Hifadhi ya Kalahari na Hifadhi ya taifa ya Gemsbok, na ni mojawapo ya mbuga kubwa zaidi barani Afrika .

Mbuga hii inajulikana kwa kwa na idadi kubwa ya simba ambao huwinda tembo, wengi wao wakiwa ndama au watoto wadogo, lakini pia wanyama wadogo. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Chobe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.