Hifadhi ya Taifa ya Bonde la Kidepo
Hifadhi ya Taifa ya Bonde la Kidepo, Ina eneo la kilomita za mraba 1,442, ni mbuga ya wanyama katika eneo la Karamoja kaskazini mashariki mwa Uganda .
Wanyamapori[hariri | hariri chanzo]

Sehemu kubwa ya hifadhi ni savanna ya miti ya wazi. Katika bonde la Kidepo idadi ya mimea na wanyama inatofautiana kati ya mabonde hayo mawili. [1]
Bonde la Kidepo[hariri | hariri chanzo]
Vijito katika Bonde la Kidepo vina mitende. Maeneo ya juu yana vichaka vya miiba ya mshita . [2]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Field, C. R.; Ross, I. C. (1 March 1976). "The savanna ecology of Kidepo Valley National Park.". African Journal of Ecology 14 (1): 1–15. .
- ↑ Spinage, Clive Alfred (2012). African Ecology: Benchmarks and Historical Perspectives, 1st, Berlin: Springer, 710. ISBN 3642228712.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |