Hhohho
Mandhari
Hhohho ni mkoa wa Eswatini, upande wa kaskazini. Una eneo la km2 3,625 na wakazi 377,812 (sensa ya mwaka 2023). Makao makuu ni Mbabane.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hhohho kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |